Kuganda Baridini hadi Kufa kwa Watoto Wachanga, na Njaa na…
Jumanne, 7 Rajab 1446 - 07 Januari 2025
Mnamo tarehe 30 Disemba, iliripotiwa kuwa mtoto wa 6 waliganda hadi kufa mjini Gaza ndani ya wiki mbili kutokana na hali ya baridi inayovumiliwa na wakimbizi wa Kipalestina katika mahema ya muda, waliohamishwa kutoka kwa nyumba zao kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya Ukanda huo na uvamizi wa Kiyahudi. Ali al-Batran mwenye umri wa mwezi mmoja alifariki siku moja baada ya kaka yake pacha, Jumaa al-Batran, huko Deir el-Balah. Baba yao, Yahya Muhammad al-Batran, alisema kuwa Jumaa alipatikana kichwa chake kikiwa kama “donge la barafu”. Nariman, mama wa Sila Mahmoud al-Fassih mwenye umri wa siku 20, ambaye pia...
Wauyghur Pia Ni Sehemu ya Umma Bora, Musiwasahau
Tunapokaribia kumbukumbu ya mwaka wa 104 wa kuvunjwa kwa Khilafah, Umma wa Kiislamu unaendelea kupokea…
Machafuko na Ghasia nchini Sudan Kusini Zinasisitiza Haja ya Umma…
Ulimwengu umefuatilia machafuko ya Juba, mji mkuu wa Sudan Kusini, ambayo yalilenga watu waliokimbia makaazi…
Khilafah: Mradi wa Mabadiliko wa Ummah na Taji la Faradhi…
Chini ya mada hii, Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan ilifanya kikao chake cha kawaida, Kikao cha…
Hotuba ya Kisiasa katika Soko Kuu la Port Sudan “Hatari…
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ilitoa hotuba ya kisiasa leo, tarehe 27 Rajab 1446…
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kikao cha Masuala ya…
Sisi katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan tunafuraha kuwaalika wanataaluma wa vyombo vya habari,…