Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali Kubwa “Usiisahau…
Ijumaa, 10 Rajab 1446 - 10 Januari 2025
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi kumi na tano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 170,000, wanaume na wanawake hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali kubwa kote nchini Uturuki chini ya Kichwa: “Usiisahau Gaza wala Usikubali Kusahauliwa Kwake!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Hizb ut Tahrir…
Hizb ut Tahrir inapinga Ukoloni wa Kithaqafa kwa nchi za Waislamu!
Al Waqiyah TV: Wito kwa Waislamu Wote, Na kwa Watu…
Wito kwa Waislamu Wote, Na kwa Watu wa Ash-Sham Hasa!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi: “Na…
Matembezi ya 65 yalianzia mbele ya Msikiti wa Al-Fath katika mji mkuu wa Tunis, baada…
Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 529
Vichwa Vikuu vya Toleo 529
Hakuna Tofauti Kati ya Uhalifu wa huko New Orleans na…
FBI imefichua utambulisho wa mhusika wa shambulizi la kugonga na gari huko New Orleans, Marekani,…