Alhamisi, 26 Shawwal 1446 | 2025/04/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Ushuru wa Trump Unasisitiza Haja ya Dharura ya kuwa na Uchumi Mmoja wa Kiislamu chini ya Kivuli cha Khilafah Rashida!

“Ushuru wa Trump unalenga kukomesha enzi ya utandawazi,” Jarida la ‘Wall Street’ lilitangaza mnamo Aprili 2, 2025, kujibu tangazo la Trump la ushuru wa 29% kwa Pakistan. Pakistan sasa itateseka kwa sababu ya sera ya kikoloni ya kutegemea uchumi unaotegemea mauzo ya nje. Njia yetu pekee ya kutoka ni kuunganisha uchumi wa nchi za Kiislamu chini ya Khilafah Rashida. Sisi ni Umma wa watu bilioni mbili, na Pato la Taifa ni $8.7 trilioni na usawa wa nguvu ya ununuzi ya $26.4 trilioni. Tuna akiba kubwa zaidi ya nishati na madini ulimwenguni, na idadi kubwa vijana changamfu. Sehemu inayokosekana ya mlingano huo ni uongozi mnyoofu wa kisiasa, Khilafah Rashida. Swali pekee lililobaki ni: Je, tuko tayari kupambana na kujitahidi kusimamisha dini ya Mwenyezi Mungu ndani ya dola ya Khilafah?

#Time4Khilafah

Imetayarishwa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Jumamosi, 07 Shawwal Al-Khair 1446 H sawia na 05 Aprili 2025 M

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu