Jumatatu, 23 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kimezindua Kampeni ya Kiulimwengu: “Beijing+25: Je, Barakoa ya Usawa wa Kijinsia Imeanguka?”

Mwaka 2020 unaadhimisha miaka 25 ya Azimio la Beijing na Mpango wa Utendaji (BPfA), ni waraka mpana ambao ulikuwa ni matokeo ya Kongamano la Kiulimwengu la nne la UN kuhusiana na Wanawake lililofanyika mnamo Septemba 1995, huko Beijing, Uchina.

Soma zaidi...

Chini ya Kisingizio cha Hali za Kibinadamu Upatanishi Unafanyika huko nchini Syria na Muuaji wa Watoto na Wanawake

Zaidi ya raia 20 waliuawa Jumanne iliyopita katika mashambulizi yaliyotekelezwa na vikosi vya kijeshi vya Syria kwa kuwalenga raia ikijumuisha shule. Shirika la Ufuatilizi wa Haki za Kibinadamu liliripoti kwamba takribani watoto tisa na walimu watatu waliuawa katika kuzidi kwa mashambulizi katika mkoa wa Idlib kaskazinimagharibi mwa nchi.

Soma zaidi...

Facebook Kufunga Kidhuluma Ukurasa wa Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Women & Shariah, Kunalenga Kunyamazisha Sauti za Wanawake Waislamu Wanaolingania Uislamu

Mnamo Ijumaa 29 Novemba, Facebook ilifunga kidhuluma ukurasa rasmi wa Kiingereza wa Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Women & Shariah, pasina na maelezo yoyote kuhusiana na hatua yao hiyo.

Soma zaidi...

Ulazimishaji wa Wanawake wa Uyghur Kutobeba Mimba katika Kambi za Uchina: Mkono Mwengine wa Utawala huo Katika Kampeni Yake ya Mauaji dhidi ya Waislamu wa Turkistan Mashariki

Katika wiki za hivi karibuni, vyombo vikuu vya habari kama vile Gazeti la The Independent la UK vimechapishwa ripoti kutoka kwa wanawake wa Uyghur ambao walikuwa wametiwa korokoroni ndani ya kambi za mjumuiko ndani ya Turkistan Mashariki, 

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu