Kenya: Msururu wa Amali za Kukumbuka Miaka 98 Tangu Kuangushwa kwa Khilafah
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kenya: Msururu wa Amali za Kukumbuka Miaka 98 Tangu Kuangushwa kwa Khilafah
Kenya: Msururu wa Amali za Kukumbuka Miaka 98 Tangu Kuangushwa kwa Khilafah
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwaletea wafuasi wake na wanaozuru tovuti za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya kwa kichwa:
Inatoa mwito kwa majeshi ya Waislamu ili kuikomboa Kashmir na ardhi nyingine zilizovamiwa na Waislamu.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi wake na wanaozuru tovuti zake msururu wa picha kwa kichwa “Kalenda ya Matukio ya Historia ya Kashmir na Uvamizi Wake Kutoka Kwa India,”
Kafiri Mmagharibi kwa makusudi anaendelea tokea hapo awali hadi sasa ili kuvunja familia,
Uwekaji akiba dhahabu kwa miaka ambapo zaka juu yake haikulipiwa, je inalipwa kila mwaka au mara moja tu maishani? Na utoaji wake ni kwa thamani? Ahsante.
Nilikuwa katika jahiliyyah na kwa makusudi nikaacha funga ya Ramadhani bila ya udhuru, Kisha, Alhamdulillah Mwenyezi Mungu akanirehemu nikatubu, vipi nilipe funga niliyoiacha? Je ni juu yangu kulipa fidiyah kila mwaka au inatosha kulipa tu?
Imebainika kuwa maafisa wa Ulaya wamemiminika ndani ya Sudan na kutangaza kuinusuru serikali ya Hamdouk. Mnamo 16/9/2019, Waziri wa Kigeni wa Ufaransa aliwasili Khartoum na kukutana na Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdouk na kutangaza msaada wa Uro milioni 60 kwa Sudan na kwamba itafanyakazi kuiondosha Sudan katika orodha ya Ugaidi.
Katika kitabu At-Tafkeer Al-Islami, ambacho ni mojawapo ya vitabu vilivyo tabanniwa, kinataja kuwa dua hairudishi qadar na haibadilishi qadhaa au elimu ya Mwenyezi Mungu (swt).
Katika nchi ambayo watu wake wameubeba Uislamu, nchi ya mashahidi milioni moja kwa kupigana jihad dhidi ya uvamizi wa Ufaransa uliokuwepo kwa miaka 132, ndani ya nchi maandamano yaliyoungwa mkono na wengi yalianza, yakivunja vizuizi vya hofu kwa madhalimu wa Algeria tangu 22/2/2019 mpaka wa leo, lakini hawalinganii Uislamu!