Jumatatu, 23 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Amali za Hizb ut Tahrir kwa Ajili ya Kuvunjwa Khilafah

1443 H – 2022 M

Katika mwezi wa Mtukufu wa Rajab mwaka huu 1443 H / 2022 M na kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mbaya ya wahalifu kuivunja Dola ya Kiislamu na kuondolewa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab 1342 Hijria sawia na Tarehe 3 Machi 1924 M.

Ukurasa huu tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Uturuki katika mwezi wa Rajab wa 1443 H katika kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah tarehe 28 Rajab 1342 H kama sehemu ya amali za kimataifa za Hizb ut Tahrir.

Twamuomba Mwenyezi Mungu Subhanahu wa Taa’la aharakishe kusimama kwa Khilafah Rashida kwa njia ya Utume. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza juu ya hili.

Ijumaa, 03 Rajab 1443 H - 04 Februari 2022 M

- Video ya Ripoti kuhusu Amali "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi" -

Taarifa kwa Vyombo vya Habari kutoka Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Enyi Waislamu! Je, Haijatosha kwamba Mumekaa Karne Moja bila ya Khilafah?!

Bofya Hapa

30 Rajab 1443 H - 3 Machi 2022 M

Mpangilio wa Makongamano ya Kiuchumi

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Karaman Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Karaman.

Katika mkutano huo uliofunguliwa na Ndugu Burhanuddin Kirjilan, Ustadh Suleiman Ugarlua (Mhariri Mkuu wa Jarida la Kokludegisim), ambaye aliwasilisha utafiti wenye mada "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi". Baada ya uwasilishaji, kipindi cha maswali na majibu kilifanyika na maoni ya wageni yalisikilizwa juu ya suluhisho lililopendekezwa. Washiriki walitoa michango muhimu kwa maswali, na maoni yao, na ndugu Hakki Irin na Abdullah Imamoglu wote walijibu maswali kutoka kwa wahudhuriaji.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 03 Shaaban 1443 H sawia na 06 Machi 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Aksaray Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Aksaray.

Katika mkutano huo uliofunguliwa na Ndugu Jaber Saglam, Ustadh Suleiman Ugarlua (Mhariri Mkuu wa Jarida la Kokludegisim), aliwasilisha utafiti wenye mada "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi".

Baada ya uwasilishaji, kipindi cha maswali na majibu kilifanyika na maoni ya wageni yalisikilizwa juu ya suluhisho lililopendekezwa. Washiriki walitoa michango muhimu kwa maswali, na maoni yao, na ndugu Hakki Irin na Abdullah Imamoglu wote walijibu maswali kutoka kwa wahudhuriaji.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 03 Shaaban 1443 H sawia na 06 Machi 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Nne ya Mjadala Mjini Ankara Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Ankara.

Katika mkutano huo uliofunguliwa na Ndugu Yilmaz Şilek, Ustadh Muhammad Hanafi Yagmur (mtaalamu wa uchumi wa Kiislamu) aliwasilisha utafiti wenye mada "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi". Baada ya uwasilishaji, kipindi cha maswali na majibu kilifanyika na maoni ya wageni yalisikilizwa juu ya suluhisho lililopendekezwa. Washiriki walitoa michango muhimu kwa maswali, na maoni yao, na ndugu Kurtulus Sevinc, Kadir Kashikci, Yilmaz Şilek na Muhammed Hanafi Yagmur wote walijibu maswali kutoka kwa wahudhuriaji.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumamosi, 02 Shaaban 1443 H sawia na 05 Machi 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Kirikkale Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Kirikkale.

Katika mkutano huo uliofunguliwa na Ndugu Ali Karatiba, Ustadh Suleiman Ugarlua (Mhariri Mkuu wa Jarida la Kokludegisim), aliwasilisha utafiti kwa kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi" Baada ya uwasilishaji, kipindi cha maswali na majibu kilifanyika na maoni ya wageni yalisikilizwa juu ya suluhisho lililopendekezwa. Washiriki walitoa michango muhimu kwa maswali, na maoni yao, na ndugu Hakki Irin na Abdullah Imamoglu wote walijibu maswali kutoka kwa wahudhuriaji.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Ijumaa, 01 Shaaban 1443 H - 04 Machi 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Tatu ya Mjadala Mjini Ankara Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Ankara.

Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ni Ustadh Muhammad Mustafa Onok, Ustadh Suleiman Ugarlua (Mhariri Mkuu wa Jarida la Kokludegisim), aliwasilisha utafiti wenye mada "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi" Baada ya uwasilishaji, kipindi cha maswali na majibu kilifanyika na maoni ya wageni yalisikilizwa juu ya suluhisho lililopendekezwa. Washiriki walitoa michango muhimu kwa maswali, na maoni yao, na ndugu Hakki Irin, Suleiman Ugurlu na Abdullah Imamoglu wote walijibu maswali kutoka kwa wahudhuriaji.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumatano, 29 Rajab 1443 H - 02 Machi 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Batman Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Batman.

Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ni Ustadh Aydin Osalp, Mwanauchumi Mehmet Hanafi Yagmur, Ustadh Hakki IrIn na Ustadh Abdullah Imamoglu.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumatatu, 27 Rajab Tukufu 1443 H – 28 Februari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Kongamano la Kiuchumi Mjini Diyarbakir Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Ukumbi wa Mikutano wa Mir Yildiz huko Diyarbakir kwa anwani "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi!" Sambamba na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 wa Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.

Kongamano hili lilihitimishwa kwa kumuomba Mwenyezi Mungu (swt) aharakishe kusimama kwa Dola ya Khilafah Rashida, itakayotabikisha mfumo huu upya.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 26 Rajab 1443 H – 27 Februari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Kongamano la Kiuchumi Mjini Şanliurfa Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika ukumbi wa Hoteli ya Rouhi mjini Şanlıurfa lenye kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi!" sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka wa 101 wa Hijria wa kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H.

Kongamano lilihitimishwa kwa kumuomba Mwenyezi Mungu (swt) aharakishe kusimama kwa Dola ya Khilafah Rashida, itakabikishe upya mfumo huu.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumamosi, 25 Rajab 1443 H – 26 Februari 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Gaziantep Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Gaziantep.

Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ni Ustadh Ahmed Saba, Mwanauchumi Muhammad Hanafi Yaghmour, Dkt. Abdul Rahim Shin, Ustadh Hakki Eren na Ustadh Abdullah Imamoglu.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumamosi, 25 Rajab 1443 H – 26 Februari 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Sanliurfa Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Sanliurfa.

Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ndugu; Ustadh Mustafa Koçuk, Mwanauchumi Mehmet Hanafi Yaghmour, Dkt. Abdurrahim Shin, Ustadh Hakki Eren na Ustadh Abdullah Imamoglu.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumamosi, 25 Rajab 1443 H - 26 Februari 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala kwa Mara ya Pili Mjini Ankara Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Ankara.

Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ni Ustadh Kadir Kashikci, Ustadh Suleiman Ugreloa (Mhariri Mkuu wa Jarida la Kokludegisim) aliwasilisha utafiti wenye mada "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi". Baada ya uwasilishaji, kipindi cha maswali na majibu kilifanyika na maoni ya wageni juu ya suluhisho lililopendekezwa kusikilizwa. Washiriki walitoa michango muhimu kwa maswali, na maoni yao, na ndugu wawili, Muhammed Hanafi Yaghmour (mtaalamu wa uchumi wa Kiislamu) na Abdullah Imamoglu (imamu na khatibu), walijibu maswali.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumatano, 22 Rajab 1443 H - 23 Februari 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Semina Mjini Sancaktepe Istanbul Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Sancaktepe Istanbul.

Ustadh Musa Beyoglu alitoa mada yenye kichwa "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta 10". Baada ya uwasilishaji, kipindi cha maswali na majibu kilifanyika na maoni ya wageni juu ya suluhisho lililopendekezwa kusikilizwa. Washiriki walitoa michango muhimu kwa maswali, maoni na maoni yao, Musa Beyoglu alijibu maswali yaliyoulizwa.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 19 Rajab 1443 H - 20 Februari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Yalova Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Yalova katika jimbo la Bursa.

Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ni maustadh; Ali Tenjar, Musa Beyoglu, Mahmud Kar, Mehmet Emin Yildirim.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 19 Rajab 1443 H - 20 Februari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Kongamano la Kiuchumi Mjini Inegol "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi"

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi mjini Inegol katika jimbo la Bursa chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H.

Ambapo kongamano lilianza kwa utangulizi wa mwakilishi wa jarida la Kokludegisim katika jimbo la Bursa Ustadh Muhammed Steinbodek, ikifuatiwa na usomaji mzuri wa aya za Quran Tukufu na Ndugu Muhammad.

Kisha kalima ya ufunguzi ikatolewa na Ustadh Mehmet Amin Yildirim, mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Uturuki, ambapo alieleza kwamba migogoro inaangukia kila mtu, haswa serikali na wasimamizi, na akasema kwamba wasimamizi wamepuuza jukumu hili. Kwa mara nyingine tena, akibainisha kwamba tunachotakiwa kuondokana na migogoro hii ni Uislamu mtukufu, Yildirim alieleza kuwa Uislamu ni dini na mfumo utakaotoa ufumbuzi wa matatizo yatakayojitokeza hadi mwisho wa dunia, sawa na ulivyotoa ufumbuzi kwa matatizo yote katika kipindi cha miaka 1,300 iliyopita.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumamosi, 18 Rajab 1443 H - 19 Februari 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Inegol Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Inegol katika jimbo la Bursa.

Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ni maustadh; Serdar Yilmaz, Musa Beyoglu, Mahmud Kar, Mehmet Emin Yıldırım.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumamosi, 18 Rajab 1443 H - 19 Februari 2022 M 

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Esenyurt Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika hoteli ya Akgun katika jimbo la Istanbul.

Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ni maustadh; Muhammedu Kar (mkuu wa Afisi ya habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Uturuki), Musa Beyoglu, Muhammad Hanafi Yaghmour, Hakki Eran, Suleiman Ugurlua na Abdullah Imamoglu, ambapo walionyesha kwa nukta kumi suluhisho sahihi la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi ambao Uturuki inakabiliwa nao.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumatano, 15 Rajab Al-Muharram 1443 H sawia na 16 Februari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Esenyurt Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Esenyurt katika jimbo la Istanbul.

Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ni maustadh; Ali Gurgun (Msimamizi wa jarida la kokludegisim mjini Esenyurt), Muhammedu Kar (mkuu wa Afisi ya habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Uturuki), Muhammed Emin Yildirim (mwanachama wa afisi ya habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Uturuki), na Dkt. Abdurrahim Shin (imamu na khatibu).

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 12 Rajab Al-Muharram 1443 H sawia na 13 Februari 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Tatvan Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Tatvan katika mkoa wa Bitlis.

Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ni maustadh; Mehmet Emin Sheman (Msimamizi wa jarida la kokludegisim katika Mkoa wa Bitlus), Suleiman Ugurlua (Mhariri Mkuu wa jarida la kokludegisim), Muhammed Hanafi Yagmur (Mtaalamu wa uchumi wa Kiislamu), na Abdullah Imamoglu (imam na khatibu).

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 12 Rajab Al-Muharram 1443 H sawia na 13 Februari 2022 M

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Anatolia Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Anatolia.

Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ni maustadh; Yilmaz Şilek (mwanachama wa afisi ya habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Uturuki), Suleyman Ugurlua (Mhariri mkuu wa gazeti la kokludegisim), na Hakki Eran (mwandishi wa gazeti la kokludegisim)

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 12 Rajab Al-Muharram 1443 H sawia na 13 Februari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Van Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa mfululizo wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Van.

Wazungumzaji katika mkutano huo, walikuwa maustadh; Ust. Bilal Acar (mwandishi wa Jarida la Koklu Degisim), Muhammad Hanefi Yağmur (mtaalamu wa Uchumi wa Kiislamu), Abdullah İmamoğlu (Imam na Khatibu) na Ahmet Sapa (mwandishi wa Jarida la Koklu Degisim).

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

Jumamosi, 11 Rajab 1443 H - 12 Februari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Ankara Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

 

Ndani ya wigo wa mfululizo wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Ankara.

Wazungumzaji katika mkutano huo, walikuwa maustadh; Yilmaz Cilek, Mwanachama wa Afisi ya Habari ya  Hizb ut Tahrir katika Wilayah Uturuki, Suleyman Ugurluo, Mhariri Mkuu wa Jarida la Koklu Degisim, Hakki Eran, mwandishi wa Jarida la Koklu Degisim, Muhammed Hanafi Yagmur, Mtaalamu wa Uchumi wa Kiislamu, na Abdullah Imamoglu, Imam na Khatibu.

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

Jumatano, 08 Rajab 1443 H - 09 Februari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Izmir Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa mfululizo wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini İzmir.

Wazungumzaji katika mkutano huo, walikuwa maustadh; Serdar Yılmaz, Abdurrahim Şen, Hakkı Eren, na Abdullah Imamoglu.

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 05 Rajab 1443 H - 06 Februari 2022 M

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Konya Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Konya.

Wakizungumza katika mkutano huo walikuwa ni maustadh Murat Savas, Muhammed Hanafi Yaghmur, Yilmaz Şilek, na Suleiman Ugurlua.

Kwa Maelezo Zaidi: Bonyeza Hapa

Jumamosi, 04 Rajab 1443 H - 05 Februari 2022 M

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Aydin Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa ya halaqa ya mjadala katika mji wa Aydin kama sehemu ya kampeni yake chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", inayotoa masuluhisho msingi ya Kiislamu kwa mgogoro wa sasa wa kiuchumi nchini Uturuki, kwa kuwasiliana na mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyama na vyombo vya habari vya ndani na kujibu maswali yao.

Kwa Maelezo Zaidi: Bonyeza Hapa

Jumamosi, 04 Rajab 1443 H - 05 Februari 2022 M

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala Mjini Kahramanmaras Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa ya halaqa ya mjadala katika mji wa Kahramanmaras kama sehemu ya kampeni yake chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", inayotoa masuluhisho msingi ya Kiislamu kwa mgogoro wa sasa wa kiuchumi nchini Uturuki, kwa kuwasiliana na mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyama na vyombo vya habari vya ndani na kujibu maswali yao.

Kwa Maelezo Zaidi: Bonyeza Hapa

Jumapili, 29 Jumada al-Akhir 1443 H - 30 Januari 2022 M

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Semina Mjini Hatay

Kutafuta Masuluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya mwendelezo wa mfululizo wa makongamano na semina zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, vyombo vya habari vya ndani na walezi walikusanyika mjini Hatay (Antakya).

Kwa Maelezo Zaidi: Bonyeza Hapa

Jumapili, 29 Jumada al-Akhir 1443 H - 30 Januari 2022

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Semina Mjini Adana

Kutafuta Masuluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya mwendelezo wa mfululizo wa makongamano na semina zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, vyombo vya habari vya ndani na walezi walikusanyika mjini Adana.

Kwa Maelezo Zaidi: Bonyeza Hapa

Jumamosi, 28 Jumada al-Akhir 1443 H - 29 Januari 2022 M

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Kongamano la Kiuchumi Mjini Adana

"Kutafuta Masuluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi!"

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Kituo cha Elimu ya Umma cha Yorgir mjini Adana kwa anwani "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi!" Kongamano hilo ambalo liliwasilishwa na Ustadh Furkan Turamantkin, lilianza kwa hotuba ya ufunguzi ya Ustadh Aziz Terazi, na kufuatiwa na hotuba ya Ustadh Musa Beyoglu, ambapo alielezea kwa uwazi sababu halisi za migogoro tunayopitia na suluhisho la Kiislamu. Baada ya hotuba yake, Ustadh Abdullah Imamoglu alichukua nafasi hiyo ambapo aligusia masuluhisho ya mfumo wa uchumi wa Kiislamu na namna ya kuyatekeleza, na kwamba kuokoka kutokana na mgogoro na matatizo yaliyopo hakutawezekana isipokuwa kwa nidhamu ya kiuchumi ya Kiislamu haswa na mfumo wa Kiislamu kwa ujumla.

Kwa Maelezo Zaidi: Bonyeza Hapa

Jumamosi, 28 Jumada al-Akhir 1443 H - 29 Januari 2022 M

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Kongamano la Kiuchumi Mjini Mersin

"Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi!"

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi mjini Mersin ndani ya wigo wa kampeni "Masuluhisho ya Kiislamu kwa migogoro ya kiuchumi katika nukta 10", ambapo sababu za mgogoro wa sasa wa kiuchumi na suluhisho lake msingi yalishirikishwa kwa watu wa  Mersin.

Kwa Maelezo Zaidi: Bonyeza Hapa

Jumapili, 29 Jumada al-Akhir 1443 H - 30 Januari 2022 M

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Kongamano la Kiuchumi Mjini Bursa

"Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta 10!"

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi mjini Bursa kwa anwani, "Masuluhisho ya Kiislamu kwa migogoro ya kiuchumi katika nukta 10!", Ndugu waliowasilisha suluhisho sahihi la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi unaoisibu Uturuki ni: Ustadh Serdar Yilmaz, Ustadh Musa Beyoglu, na Ustadh Abdullah Imamoglu.

Kwa Maelezo Zaidi: Bonyeza Hapa

Jumapili, 13 Jumada al-Akhir 1443 H – 16 Januari 2022 M

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Kongamano la Kiuchumi Mjini Ankara

"Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta 10!"

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Kituo cha Kitamaduni cha Kocatepe mjini Ankara kwa anwani, "Masuluhisho ya Kiislamu kwa migogoro ya kiuchumi katika nukta 10!", Ndugu waliowasilisha kalima ni Ustadh Süleyman Uğurlu, Ustadh Muhammet Hanefi Yağmur, Ustadh Musa Bayoğlu, na Ustadh Abdullah İmamoğlu ambao waliwasilisha masuluhisho ya Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi unaoathiri Uturuki.

Kwa Maelezo Zaidi: Bonyeza Hapa

Jumapili, 06 Jumada al-Akhir 1443 H - 09 Januari 2022 M

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Kongamano la Waandishi wa Habari

"Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta 10!"

 Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la waandishi wa habari kwa kichwa, "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta 10!"

Ustadh Hakki Eran, Ustadh Mehmet Hanafi Yagmur, Ustadh Musa Beyoglu, Ustadh Suleyman Ugurlu, Ustadh Mahmut Kar, Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Uturuki, ambapo waliainisha kwa nukta kumi suluhisho sahihi la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi unaoisibu Uturuki.

Kwa Maelezo Zaidi: Bonyeza Hapa

Jumatano, 2 Jumada al-Akhir 1443 H - 5 Januari 2022 M

#ReturnTheKhilafah  #YenidenHilafet
 #الخلافة_101 #أقيموا_الخلافة  

 

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu