Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia: Hukumu ya Mounir Amara, afisa wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hukumu ya Mounir Amara, afisa wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia
Hukumu ya Mounir Amara, afisa wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia
Ikiwa ni sehemu ya matukio ya kiulimwengu yaliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir kukumbuka kuvunjwa kwa Khilafah (28 Rajab) ili kuuamsha Ummah wa Kiislamu na kunoa maamuzi yake.
Kalima ya Dkt. Ismail Yusanto kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Kiidara wa Kuipiga Marufuku Hizb ut Tahrir
Warsha ilianza kwa kusomwa Aya za Qur’an Tukufu katika ukumbi uliojaa wageni waheshimiwa, kisha kufuatiwa na hotuba ya ndugu Muhammad Yassin, “Hitajio la Utu katika Ufunuo” na vipi ummah unaamini ufunuo huu na kuweza kuongoza kwa mwamko sahihi.
Katika kujibu shambulizi la kinyama kwa Waislamu wenzetu wa Uighur Mashariki ya Turkistan yaliyo fanywa na serikali ya China, na pia chini ya muongozo wa Mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah, Amir wa Hizb ut Tahrir, ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Australia ulitembelea Ubalozi wa China uliopo jijini Sydney
Katika kuitikia maelekezo ya mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu al- Rashtah, Amiri wa Hizb ut Tahrir, ujumbe wa Hizb ut Tahrir ulitembelea Ubalozi wa China jijini Brussels kukabidhi taarifa kwa vyombo vya habari iliyo tolewa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa anwani:
Ujumbe kwenda katika Ubalozi wa China katika Kuunga Mkono Watu wetu eneo la Turkistan Mashariki.
Zaidi ya wanachuoni 600, Masheikh na wahudumu wa Kiislamu, wakiwemo Habayeb na Maprofesa, walishiriki mkutano wa wanachuoni katika eneo la Madura / Java Mashariki, uliosadifiana na kumbukumbu la tukio la Isra na Miraaj ya Mtume (saw).
Enyi Maafisa Wenye ikhlasi katika Jeshi, hadi lini mtanyamaza Kimya dhidi ya unyama huu kwa Ummah wa Kiislamu! Chukueni msimamo wenu katika upande wa Waislamu. Ipeni Nusra Hizb ut Tahrir kwa ajili ya Kusimamisha Tena Khilafah.
Hizb ut Tahrir / Denmark iliandaa maandamano mbele ya Bunge la Denmark kupinga mauaji ya halaiki nchini New Zealand.