Tafadhali unga mkono #FreeNaveedButt Kimbunga cha Twitter mnamo 26/12/2020.
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tafadhali unga mkono #FreeNaveedButt Kimbunga cha Twitter mnamo 26/12/2020
Tafadhali unga mkono #FreeNaveedButt Kimbunga cha Twitter mnamo 26/12/2020
Kitengo cha wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir kimezindua kampeni pana ya kunyanyua utambuzi wa kiulimwengu juu ya dhulma kubwa na ukiukaji ambao Waislamu wanakabiliwa nao nchini Sri Lanka,
Mnamo Aprili mwaka huu 2020, serikali ya Sri Lanka ilitoa kanuni inayoamuru kwamba wale wote wanaokufa kutokana na Covid-19 au ambao walikuwa na virusi vya ugonjwa huu wakati wa kifo walipaswa kuchomwa moto,
Kiongozi mmoja wa mshtaka aliomba kifungo cha miaka 52.5 kwa jumla kwa wazungumzaji 4 wa kongamano moja ambalo lilikuwa limepangwa kufanyika mnamo 2017 lakini likazuiwa pasi na sababu msingi.
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Kisimamo cha Kupinga Mbele ya Baraza la Mawaziri jijini Khartoum
Mbali na fitna ya mizozo ya kikabila mashariki mwa Sudan, na kwa imani yetu kwamba Uislamu mtukufu, na kwa historia yote ya kibinadamu,
Katika mwendelezo wa amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan mashariki, magharibi, na marefu na mapana ya nchi kupinga uhalifu wa usawazishaji mahusiano na umbile la Kiyahudi na kuondoa dhimma,
Katika wakati ambao Waislamu wa Pakistan wanauelekea Uislamu kama njia ya maisha, na kwa ajili ya kunyanyua kiwango cha utambuzi wa jambo la nidhamu ya Khilafah, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imezindua kampeni pana kwenye mitandao ya kijamii kwa anwani:
Uthibitisho kwa ulimwengu kwamba usawazishaji mahusiano ni usawazishaji wa watawala na sio usawazishaji wa watu, na kukataa watawala wa Ruwaibidha,
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa kampeni ya hotuba ya hadhara na maandamano yanayolingania kusimamisha Khilafah kwa njia ya Utume, ambayo itazuia kumkashifu mara kwa mara Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).