Janga la Kiuchumi la Kiulimwengu: Miaka 10 Baadaye
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Msimu wa kiangazi wa mwaka wa 2017 ni maadhimisho ya muongo mmoja wa janga la kiuchumi la kiulimwengu.
Msimu wa kiangazi wa mwaka wa 2017 ni maadhimisho ya muongo mmoja wa janga la kiuchumi la kiulimwengu.
Licha ya muda mrefu kupita, baadhi ya hisia na hatma zinafanana, kwa mfano, hatma na hisia za watumwa hawa kutoka zama za Mtume Muhammad (saw) zinafanana na hatma za baadhi ya watu ambao tabia zao zinalingana na utumwa katika uhakika wa leo.
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu Bwana wa Walimwengu, na swala na salamu zimshukie Mtume Mtukufu Mteule na familia yake, maswahaba zake na wale wanaomfuata kwa ihsani hadi Siku ya Malipo.
Dada zangu wapendwa na wageni waheshimiwa, mgogoro wa utambulisho unaoathiri wengi wa vijana wetu wa Kiislamu ni mojawapo ya kadhia sugu mno zenye kuathiri Ummah huu.
Ni lazima tutambue kwamba ukombozi mkubwa umetafutwa na nchi za Kimagharibi dhidi ya watoto na vijana Waislamu nchini Indonesia.
Dola, mashirika na mujtama za kibinadamu kwa muda mrefu zimekuwa zikishughulishwa na vijana – hili ni kweli leo na litaendelea kuwa kweli.
Thaqafa ya watu wowote huwakilisha uti wa mgongo wa uwepo wao na kudumu kwao. Juu ya thaqafa, hadhara yake hujengwa, dhamira na malengo yake hufafanuliwa, mpangilio wa maisha yao huwa wa kipekee kwake, watu wake huyeyushwa ndani ya chungu kimoja ili watafautishwe kupitia hiyo na mataifa na watu wengine.
Katika ayah hii ya Qur’an, Mwenyezi Mungu Mwingi wa nguvu, Mwingi wa hekma atuambia kuwa kutakuweko na mvutano baina ya Haki na Batili kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Ni mara ngapi macho hayo makali yametilia shaka hadhi yake? Na ni mara ngapi, wanawake hawa walio kiguu na njia masaa ishirini na nne kwa wiki, juhudi zao zimedunishwa kwa kuwa tu ‘mke nyumbani’?