Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Yaandaa Kisimamo cha Kupinga Dhidi ya ziara ya Waziri wa Kigeni wa Amerika nchini Sudan
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan iliandaa kisimamo cha kupinga, mchana wa siku ya Jumanne, 6 Muharram 1442 H sawia na 25/8/2020 M katikati mwa mji mkuu wa Khartoum,