Miaka Tisini na saba ya Kejeli na Hasara
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo 28 Rajab 1324 Hijria sawia na 3 Machi 1924 Miladi, bunge lilikutana kwa kikao chao cha pili Ankara saa tisa na dakika ishirini na tano mpaka saa moja kasrobo. Siku hio, mkutano uliisha na maamuzi hatari kwa Ummah wa Kiislamu nao ni kuvunjwa kwa Khilafah