- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:
Kitengo cha Wanawake “Kalima kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 104 H ya Kuvunjwa kwa Khilafah!”
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 104 ya kuvunjwa kwa dola ya Kiislamu na wasaliti wa Kiarabu na Kituruki, iliyoanzishwa na Bwana wa Mitume, Muhammad, rehma na amani ziwe juu yake, na Maswahaba zake watukufu na waliobarikiwa, Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na kukomeshwa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, sawia na 3/3/1924 M, Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria kilishiriki kwa kalima hii ya dada mwema Khadija Al-Shaykh, yenye kichwa “Katika mwezi wa Rajab, machozi yanatiririka na matamanio yanapita kasi.”
Jumanne, 28 Rajab Tukufu 1446 H sawia na 28 Januari 2025 M
#أقيموا_الخلافة
ReturnTheKhilafah#
#YenidenHilafet
#خلافت_کو_قائم_کرو
#TurudisheniKhilafah