Jumatatu, 23 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:
Ushirikiano wa pamoja wa Marekani-India dhidi ya Pakistan Unaweza Kukabiliwa na Khilafah Rashida Pekee!

[Ripoti ya habari kuhusiana na taarifa ya pamoja]

Wizara ya Kigeni imelalamika, "Tunazingatia kumbukumbu maalum ya Pakistan katika 'Taarifa ya Pamoja kutoka Marekani na India', iliyotolewa mnamo tarehe 22 Juni 2023, kama isiyostahili, yenye kuegemea upande mmoja, na kupotosha." Baada ya vibaraka wa Marekani kuchukua madaraka nchini India, dori ya Pakistan kuhusiana na Marekani ilimalizika, na Pakistan ilitupwa.

Tuliuza wanaume wetu kwao. Kisha tukapokea taangazo la pamoja kama matokeo yake. Pakistan sasa anatuhumiwa kwa kudhamini ugaidi.

Tulikubali kuwa hatua kali zinahitajika kuzuia ugaidi wa mpakani

Tuliafikiana na Marekani katika kipindi cha miaka 40-45 iliyopita. Pakistan ilikuwa silaha ya vita ambavyo havikuwa vyetu.

Leo sasa tumeendelea kuelekea uhamishaji wa teknolojia, maendeleo na uzalishaji wa shirika

Masharti ya IMF ambayo tunahitaji kuyatimiza hayaingii akilini. Lakini, tunalazimishwa kuyafanya

India na Marekani huandaa silsila za usambazaji zenye kutegemeka, salama na zenye nguvu, na silsila zenye thamani kubwa, kama washirika wanaoaminiwa.

Tulileta ugaidi katika milangoni mwetu, kutokana na vita hivyo

Wamarekani sasa wanataka kwamba dori ya Pakistan iwe ni kuupiga vita Uislamu na Waislamu.

Marekani kwa upande mmoja imeilazimisha Pakistan kufanya operesheni katika maeneo ya kikabila nchini Pakistan.

Jeshi la Pakistan, kwa njia hii, litawaua Waislamu, kwa risasi na silaha zao.

Majeruhi pande zote mbili watakuwa ni Waislamu.

Kwa upande mwingine, jambo muhimu zaidi, ni kwamba vita hivi vilithibitisha kuwa imara, katika kuunda rai jumla nchini Pakistan dhidi ya Uislamu.

Hakuna kukiri. Badala yake, nadhani kwamba tangazo la pamoja, ambalo lilichapishwa jana usiku, ni sababu ya aibu kubwa.

Hivi ndivyo Marekani inavyowatendea vibaraka wake na hii ndio hatima yao.

Kwa ushirika kati ya India na Marekani, hata mbingu sio kikomo.

Makabiliano imara pekee kwa muungano wa Marekani na India ni kuunganishwa kwa Umma wa Kiislamu chini ya Khilafah kwa Njia ya Utume.

#Time4Khilafah 

Alhamisi, 09 Muharram 1445 H - 27 Julai 2023 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu