- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Indonesia:
Katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah “Palestina itakombolewa kupitia Khilafah na Jihad”
Kwa mnasaba wa kumbukumbu (miaka 104 H) ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H sawia na 03/03/1924 M mikononi mwa wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, na kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) yaliyofanywa na umbile nyakuzi la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), Hizb ut Tahrir / Indonesia iliandaa matembezi makubwa katika mji mkuu wa Jakarta yenye kichwa “Palestina itakombolewa kupitia Khilafah na Jihad” ambapo walishiriki katika matembezi hayo zaidi ya Waislamu elfu 30, wake kwa waume wakiyataka majeshi ya Waislamu kusonga ili kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na najisi ya Mayahudi wauaji wahalifu pia walisisitiza kwamba kusimamishwa kwa Dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume ndio itakomboa nchi zote za Waislamu kutokana na athari za wakoloni makafiri kwa namna zote.
Jumapili, 26 Rajab Tukufu 1446 H sawia na 26 Januari 2025 M
- Sehemu ya Matembezi Makubwa katika Mji Mkuu Jakarta -
- Ili Kupakua Ripoti juu ya Matembezi Makubwa -
- Picha za Matembezi Palestina itakombolewa kupitia Khilafah na Jihad -
-
Click to open image! Click to open image!

https://domainnomeaning.com/sw/index.php/dawah/indonesia/4511.html#sigProId9a10c162dc
#أقيموا_الخلافة
#ReturnTheKhilafah
#YenidenHilafet
#خلافت_کو_قائم_کرو
#TurudisheniKhilafah
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Indonesia:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Indonesia
Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Indonesia
Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Indonesia