Kongamano la Maraisi Baina ya Amerika na Korea Kaskazini
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kongamano la maraisi baina ya Amerika Kaskazini na Korea Kaskazini lilifanywa kupitia mkutano wa Maraisi wawili, Trump na Kim mnamo 12/6/2018 nchini Singapore. Walitia saini waraka kwa pamoja mwishoni mwa kongamano hilo.