Jumatatu, 23 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mzozo wa Amerika na Ulaya ndani ya Sudan

Imebainika kuwa maafisa wa Ulaya wamemiminika ndani ya Sudan na kutangaza kuinusuru serikali ya Hamdouk. Mnamo 16/9/2019, Waziri wa Kigeni wa Ufaransa aliwasili Khartoum na kukutana na Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdouk na kutangaza msaada wa Uro milioni 60 kwa Sudan na kwamba itafanyakazi kuiondosha Sudan katika orodha ya Ugaidi. 

Soma zaidi...

Ni Kipi Kilicho Nyuma ya India Kufutilia Mbali Hadhi Maalumu ya Kashmir

[Raisi wa Marekani Donald Trump alimwambia waziri mkuu, Imran Khan, katika maongezi ya simu mnamo Ijumaa kuwa ni muhimu kwa India na Pakistan kupunguza taharuki eneo la Kashmir na Jammu kupitia "mazungumzo baina ya pande mbili," Ikulu ya White House ilisema katika taarifa. (Reuters mnamo 17/8/2019)]

Soma zaidi...

Uhalisia wa Yaliyotokea na Yanayotokea Aden!

Ni yapi yaliyotokea na yanayotokea mjini Aden? Ni vipi kunakuwepo vita baina ya Baraza la Al-Zubaidi na serikali ya Hadi, ijapo kuwa Al-Zubaidi alikuwa ni gavana wa Aden aliye teuliwa na Hadi, na baada ya kutimuliwa, alibakia mjini Aden pasi na serikali ya Hadi kuchukua hatua yoyote dhidi yake, bali alikuwa akiyakusanya majeshi yake mbele ya macho na masikio serikali hiyo?!

Soma zaidi...

Risala Kutoka kwa Mwanachuoni Mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah Katika Siku Kuu ya Idd ul-Adha Yenye Baraka ya Mwaka 1440 H Ikiafikiana na Mwaka 2019 M

Assalamu Alaikum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh, Mwenyezi Mungu aukubali utiifu wenu, na Mwenyezi Mungu aifanye Idd yenu ijae kheri na baraka. Mwenyezi Mungu aikubali Hajj ya waliohiji, na Mwenyezi Mungu aifanye iwe Hajj iliyo kubaliwa, na juhudi zilizo pokewa na dhambi zilizo samehewa.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu