Jumanne, 24 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Lazima Tuyatake Majeshi yetu Yasimamishe tena Khilafah na Kuhamasika kwa ajili ya Gaza!

Enyi Waislamu wa Pakistan! Lazima tuyatake majeshi yetu yasimamishe tena Khilafah na kuhamasika kwa ajili ya Gaza. Lazima tumkumbushe kila afisa wa jeshi kwamba tunajua juu ya malipo makubwa yanayongojea shujaa ambaye atatoa nusra yake ya kimada kwa ajili ya kusimamisha tena utawala kwa Uislamu.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Ni juu ya majeshi ya Waislamu kusimamisha tena Khilafah, ambayo ni ngao ya Waislamu mjini Gaza na nje ya Gaza!

Ni juu ya majeshi ya Waislamu kusimamisha tena Khilafah, ambayo ni ngao ya Waislamu mjini Gaza nan je ya Gaza! Mtume wa Mwenyezi Mungu kipenzi chetu amesema,

“Hakika, Imam ni ngao. Waislamu hupigana nyuma yake na hujihami kwaye.”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Waislamu kwenye Vikosi vya Jeshi! Je kuna huduma kubwa zaidi ya kijeshi kuliko ile ya Sa’ad ibn Muadh (ra)?!

Enyi Waislamu wa Vikosi vya Jeshi! Je! Kuna huduma yoyote kubwa ya kijeshi kuliko ile ya Saad ibn Muadh (ra)? Sa’ad alitoa Nusrah kwa ajili ya kusimamishwa hukmu kwa yale yote aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu ﷻ. Sa’ad alishinda juu ya maadui.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Maandamano Makubwa “Pelekeni Jeshi la Pakistan Kuikomboa Gaza!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi mitano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 110,000, wanaume na wanawake, hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa maandamano makubwa katika miji mikubwa ya Pakistan.

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake ya Ramadhan “Ramadhan ni Mwezi wa Ushindi”

Karibu Ramadhan, mwezi wa ushindi, mwezi wa bishara njema, mwezi wa kujadidishwa imani na kutakasa nyoyo, mwezi wa utiifu na kushindana katika mambo mema. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu aliyetufikisha Ramadhan, mwezi huu mtukufu ambao tunahisi ndani yake maana ya rehema na umoja baina ya Waislamu. Karibu, Ramadhan.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu