Kuhusu Ziara kwa Waziri wa Maswala ya Kidini
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ziara kwa Waziri wa Maswala ya Kidini
Ziara kwa Waziri wa Maswala ya Kidini
Eneo la usalama katika mkoa wa Kharouba / Nabeul lilimwita mwanachama wa Hizb ut-Tahrir Najmuddin Shuaibin Jumanne Oktoba 13, 2020 M,
Kabla ya kikao cha majadiliano kilichoandaliwa na jarida la Al-Tahrir mnamo Alhamisi 01 Oktoba 2020 saa kumi jioni katika makao makuu ya Hizb ut-Tahrir yaliyo katika makutano ya Soukra-Ariana chini ya anwani:
Mara tu Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia ilipozindua kampeni ya kutangaza kongamano la Khilafah la mwaka huu na ambao lilinasibishwa na kumbukumbu ya Hijra ya Mtume (saw),
Kwa muda mrefu, Raisi Kais Saied amemchukua bwana wetu Umar Al-Faruq, Khalifah Muongofu, (ra), kiigizo chake chema.
Idara ya Facebook mnamo asubuhi ya 4 Juni iliufunga ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia...
Katika siku hii, 03/03/1924 M sawia na 28 Rajab 1342 H, wasaliti katika Waarabu na Waturuki wakishirikiana na makafiri wa kikoloni wakiongozwa na Uingereza kwa wakati huo, na kuiangusha dola ya Khilafah, dola ambayo iliwaunganisha na kuwalinda Waislamu.
Kwa mara ya pili wiki hii, Mamlaka ya Tunisia kimakusudi imeamua kuihusisha mahakama ya kijeshi katika kuishtaki Hizb ut Tahrir katika mashtaka mawili.
Tunisia hivi sasa imo katika kipindi kigumu baada ya wale tuliowafikiria kuwa ni watawala kuyatelekeza majukumu yao msingi na kuziwachia dola za msalaba za kikoloni na wafanyikazi wake ndani ya Umoja wa Ulaya na Shirika la Fedha la Kimataifa kuamua sera za kiuchumi, kifedha na kijamii mpaka nchi ikadhibiti usambaratikaji wa kiuchumi licha ya kwamba kulikuwa na madeni makubwa.