Jumamosi, 28 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Barua ya Wazi kutoka Hizb ut Tahrir Australia kwenda kwa Balozi za Waislamu nchini Australia

Tunakuhutubieni wakati ulimwengu unakusanyika dhidi ya kikundi kidogo cha watu ambao hawajapata wasaidizi wala walinzi, huku wavamizi wa Kiyahudi - waliowezeshwa na Magharibi - wakitawalisha ugaidi juu ya miji na vijiji, hospitali na shule, unyama ambao huyafanya hata mawe kulia kwa maumivu.

Soma zaidi...

Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Lebanon cha Andaa Semina ndani ya Wigo wa Amali ya Wanawake ya Kiulimwengu kwa ajili ya Palestina

Kitengo cha wanawake cha Hizb ut Tahrir katika wilayah ya Lebanon, leo, Jumapili, kilifanya semina katika mji mkuu, Beirut, ndani ya wigo wa siku ya kufanya kazi ya wanawake ulimwenguni kwa ajili ya Palestina kuyalingania majeshi ya Waislamu kuwaokoa wanawake wa Gaza na watoto wake na kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), mbele ya uhudhuriaji wa wanawake.

Soma zaidi...

Watu wetu mjini Gaza Wanaangamizwa Huku Watawala Wasaliti Wanatazama Hivi Wako Wapi Watu wenye Ikhlasi katika Ummah wa Uislamu?

Mnamo siku ya 35 ya vita vyake dhidi ya Ukanda wa Gaza, umbile la Kiyahudi lilivisukuma vikosi vyake pamoja na vifaru vyake karibu na eneo la Uwanja wa Hospitali katikati mwa mji wa Gaza, ambalo linajumuisha hospitali 4, Al-Rantisi, Al-Nasr, Al-Ayoun, na hospitali ya afya ya akili. Vikosi vyake vilizingira maeneo yake huku kukiwa na mzoroto mkubwa katika sekta ya afya, haswa kufuatia mzingiro mkali uliuweka kwenye Ukanda wote wa Gaza tangu Oktoba 7.

Soma zaidi...

Kushiriki kwa Serikali ya Uzbekistan katika Mkutano wa nchi za Kiarabu na Kiislamu uliofanyika jijini Riyadh

Mnamo Novemba 11, mkutano wa kilele wa nchi za Kiarabu na Kiislamu ulifanyika jijini Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, ambapo hali katika Ukanda wa Gaza ilijadiliwa. Waziri Mkuu wa Uzbekistan Abdulla Aripov alishiriki katika mkutano huo. Katika hotuba yake, Aripov hakuenda zaidi ya "kuwataka wahusika kufikia amani ...",

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu