Ijumaa, 27 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Enyi Maulamaa Waheshimiwa wa Pakistan! Gaza Inaungua, Huku Watawala wa Pakistan waki ni Watazamaji Wasiochukua Hatua. Lazima Muwanusuru Waislamu wa Gaza, kwa Kutoa Wito wa Jihad kwa Wanajeshi wa Pakistan kwa ajili ya Ukombozi wa Ardhi Iliyobarikiwa y

Maulamaa waheshimiwa wa Pakistan! Umbile la Kiyahudi linaijaza anga ya Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina moto na moshi, huku ikinywesheza ardhi yake kwa damu na machozi ya Waislamu. Miezi miwili imepita, ilhali, hakuna jeshi hata moja la Waislamu lililotaharaki kulifukuza jeshi la adui linaloshambulia.

Soma zaidi...

Kuongezeka kwa Misimamo Mikali ya Hindutva ni Matokeo ya Moja kwa Moja ya Sera ya Kisekula ya Kigeni ya Pakistan! Khilafah Itapitisha Sera ya Kigeni, iliyojengwa juu ya Msingi wa Kubeba Ujumbe wa Kiislamu wa Tawhid kwa Ulimwengu Mzima

Mnamo tarehe 22 Januari 2024, Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, alizindua Ram Mandir maarufu, kwa shangwe na sherehe nyingi. Likiwa katika mji wa Ayodhya, hekalu hilo la Kibaniani lilijengwa juu ya magofu ya Msikiti wa Babri, nembo kuu ya utawala wa Waislamu juu ya bara hilo dogo, ambao ulivunjwa na makundi ya Mabaniani mwaka wa 1992.

Soma zaidi...

Hata kama Serikali zote za Magharibi na Mawakala wao katika Ulimwengu wa Kiislamu Wataipiga Marufuku Hizb ut Tahrir, Hizb ut Tahrir Itasimamisha Tena Khilafah na Kung'oa Mfumo wa Kilimwengu wa Magharibi, Kwa Idhini ya Mwenyezi Mungu (swt)

Gazeti mashuhuri zaidi la lugha ya Kiingereza nchini Pakistan, Gazeti la ‘The Dawn’ liliripoti kupigwa marufuku kwa Hizb ut Tahrir nchini Uingereza, likiwa na kichwa, “Uingereza yapiga marufuku Hizb ut Tahrir kama kundi la kigaidi.”

Soma zaidi...

Marufuku ya Uingereza juu ya Hizb ut Tahrir: Udhibiti wa Kutapatapa na Unafiki wa Hali ya Juu

Leo, Januari 19, 2024, Hizb ut Tahrir imepigwa marufuku nchini Uingereza kwa uamuzi wa kisiasa pasi na kivuli cha mchakato wa kisheria. Marufuku hiyo ilianzishwa siku nne tu baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza, James Cleverly, kutangaza kwamba angeiongeza Hizb ut Tahrir kwenye orodha ya magaidi ya Uingereza.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu