Yemen: Maswali ambayo kila mmoja anatakiwa kujiuliza!
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Inawezekana vipi kujiandaa kila siku tukiwa na akili timamu, kuwaandalia chakula kizuri watoto wetu, kuwavisha mavazi mazuri na masafi na kuwalea kwa utulivu na mapenzi tukiwalaza, LAKINI tukitazama kiuzembe takribani watoto milioni 1.8 wa Ummah huu ndani ya Yemen wakidhoofika na kuangamizwa bila huruma?