Jumatano, 25 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Zama za Mitandao ya Kijamii: Ufichuaji wa Uongo

Kuibuka kwa mitandao ya kijamii, watu wamejikuta wakiweza kuunganika na walioko maeneo mengine ya dunia. Hili liliyapa faida makampuni na serikali hadi ilipotumika dhidi yao. Wakati mauwaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina yalipoanza, watu wa Gaza waliweza kuunganika kwenye majukwaa kama ya TikTok na kuchapisha picha na video juu ya hali ya sasa.

Soma zaidi...

Mayatima wa Gaza Wamwaga Machozi kwa ajili ya Wazazi Waliotoweka na Uchungu wa Njaa siku ya Idd

Miezi 8 ya awamu mpya ya vitendo vya uvamizi, UNICEF inakadiria kuwa angalau watoto 17,000 mjini Gaza wako peke yao au kutenganishwa na familia zao. Tedros Adhanom Ghebreyesus, mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa, alionya kwamba “idadi kubwa ya wakaazi wa Gaza sasa wanakabiliwa na janga la njaa na hali za uhaba wa chakula."

Soma zaidi...

Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia

Kwa muda wa miezi saba, Gaza imeangamizwa kwa mikono ya Mayahudi chini ya macho ya watawala vibaraka na wakoloni wao wa Magharibi, haswa Marekani. Hawakuridhika na Gaza; wakaanza na Rafah, wakiibomoa juu ya vichwa vya watu wake na wale waliohamishwa huko kutoka Gaza na sekta yake. Marekani, anayeitwa mtetezi wa binadamu, anawaunga mkono kwa kusema: “Ipigeni mabomu Rafah, lakini kwanza, waondoeni watu wa kaskazini mwa Gaza na muwarudishe makwao!”

Soma zaidi...

Mauaji ya Nuseirat Yanafichua Dini ya Ukafiri Na Yanafichua Ufadhili na Uungaji Mkono wa Marekani kwa Umbile la Uhalifu

Mnamo tarehe 8 Juni 2024, umbile la Kiyahudi lilifanya mauaji ya kutisha katika kambi ya Nuseirat katika Ukanda wa Gaza kwa usaidizi wa Marekani kwa kisingizio cha “kuwaokoa wafungwa 4” wanaozuiliwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Hamas) na kuwakomboa kutoka mikononi mwake.

Soma zaidi...

Pongezi kwa Mnasaba wa Idd al-Adha al-Mubarak Kutoka Ardhi ya Zaitouna, Tunisia, hadi Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina

Huku sauti za mahujaji kwenye nyumba tukufu ya Mwenyezi Mungu zikipaa kwa mwito wa Mwenyezi Mungu, sauti za watu wa Gaza zimepaa tangu Kimbunga cha Aqsa katika kumwita Mwenyezi Mungu. Kwa hiyo, vikosi vyote vya ukafiri na dola za kihalifu kutoka Magharibi, ambazo zina chuki dhidi ya Uislamu na watu wake, zinakula njama dhidi yao ili kuliokoa umbile katili la Mayahudi na kuupiga vita mradi mtukufu wa Kiislamu unaotokana na itikadi yetu, na kumaliza matamanio yetu ya utu na wokovu kupitia kutabikisha sheria ya Mola wetu.

Soma zaidi...

Maadui wa Mapinduzi Wanaogopa Vuguvugu la Ummah na Wanaonya kuhusu Kupoteza Udhibiti

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, ameonya juu ya kuongezeka kwa taharuki nchini Syria, na kulitaja kuwa eneo jengine hatari linaloonyesha mwelekeo wa kupamba moto. Amefahamisha kuwa kadhia ya Syria inahitaji mkabala wa kina ili kufikia suluhu endelevu. Kauli hii aliitoa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa sita wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Baraza la Ushirikiano wa Ghuba (GCC), uliofanyika jijini Doha mnamo tarehe 9 Juni 2024.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu