Jumatatu, 23 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi: Sheikh Alim Ahmad Al-Hussein Muhammad Ahmad Mudawi

Mmoja wa Mashababu aliyebeba Dawah ya kurudisha maisha kamili ya Kiislamu kupitia kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, akistahamili madhara ya madhalimu jeuri mpaka yakini ilipomjia jana, Alhamisi, tarehe 30 Rabi ' al-Awwal 1446 H, sawia na 3/10/2024, kwenye Kisiwa cha Tuti jijini Khartoum.

Soma zaidi...

Enyi Maulamaa Waheshimiwa! Simameni Imara Pamoja na Mashababu wa Hizb ut Tahrir katika Mapambano ya Kuhuisha Uislamu kama Mfumo Kamili wa Maisha

Ni muhimu kwamba vijana wa Kiislamu wa leo wakumbushwe juu ya misheni waliokabidhiwa na Mtume wa mwisho (saw), na ukumbusho huu lazima utoke misikitini. Enyi Maulamaa, ni nani mwingine zaidi ya nyinyi anayeweza kutekeleza kazi hii muhimu?

Soma zaidi...

Mafunzo Baada ya Mwaka Mmoja wa Mauaji ya Halaiki mjini Gaza

Mwaka mzima umepita tangu tarehe 7 Oktoba 2023. Mwaka wenye mauaji ya halaiki na jinai zisizoelezeka dhidi ya Waislamu wa Palestina zinazoshuhudiwa na wote wenye macho ya kuona. Ni mafunzo gani tunaweza kupata tukitazama nyuma mwaka huu wa umwagaji damu na kutazamia mustakabali mwema kwa Palestina na Umma wa Kiislamu?

Soma zaidi...

Khilafah Itakomesha Maangamizi ya Mfuko wa Fedha wa Kimataifa

Athari za uharibifu za programu zinazofuatana za Mfuko wa Fedha wa Kimataifa zinaonyeshwa katika takwimu za kiuchumi. Pato halisi la Taifa la Pakistan limepungua kutoka $316.5 bilioni mwaka 2018, hadi $298.2 bilioni mwaka 2023, ikionyesha kupungua kwa sekta ya ndani. Huku mfumko wa bei ukiwa wastani wa 11.5% kila mwaka, idadi kubwa ya watu wenye kipato cha chini wanakabiliana na mapigo mazito zaidi ya mgogoro huu wa kiuchumi wa muda mrefu.

Soma zaidi...

Kutenganisha Lebanon na Gaza ni Hatua ya Kuelekea kuweka Amani na Adui Mvamizi na Uhalalishaji Mahusiano!

Hebu hata mmoja wetu asisahau kwamba umbile la Kiyahudi ni adui mwenye chuki, anayekalia kwa mabavu, na mwenye kinyongo, anayetamani ardhi na rasilimali zetu. Tangu kuanzishwa kwake, limeendelea kushambulia ardhi zetu kwa usaidizi wa Magharibi, silaha, na ulinzi wa kimataifa kupitia maazimio. Hivi leo, chini ya mamlaka ya serikali ya mrengo mkali wa kulia inayoongozwa na mhalifu Netanyahu, umbile hili limezidi kujitotesha damu ya watu wa Lebanon na Palestina, kufanya uhalifu, mauaji, kuhamisha na uharibifu.

Soma zaidi...

Ewe Waziri Mkuu wa Malaysia! Kumfuata Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) si kwa Maneno tu, bali ni kwa Moyo na Vitendo

Ni wajibu kwa yeyote anayetamani Madina kuwa kama nchi kigezo cha kuigwa kufanya kazi kwa umakini kwa ajili ya kusimamisha tena Dola ya Kiislamu (Khilafah). Dola hii ya kupigiwa mfano mwanzoni iliasisiwa na Mtume (saw), baadaye ilishikiliwa na Khulafa'ar-Rashidin, Umawiyya, Abbasiyya, na Uthmaniyya, na kisha ikavunjwa rasmi mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H (sawia na tarehe 3 Machi 1924 M). Muundo huu hautahuishwa tena kupitia matamshi ya viongozi au maneno tu; bali inahitaji imani, na juhudi za kujitolea na za dhati kutoka kwa wale wote wanaoitetea.

Soma zaidi...

Umepita Mwaka Tangu Mauaji ya Gaza Huku Watawala wa Waislamu Wakisalia kama Watazamaji. Hakika Suluhisho Moja na la Pekee ni Khilafah!

Enyi Waislamu, kwa kuzingatia kimya cha watawala wote na vikosi vyao vya majeshi, tunasisitiza kwamba suluhisho pekee la ukombozi wa Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina ni kusimamishwa Khilafah. Hizb ut Tahrir inakulinganieni kwa dhati na bila kuchoka kushiriki katika kazi hii tukufu na ya dharura. Muna khiari ya ima kunyamaza, kuendelea kuwaunga mkono watawala wenu, au kuungana mikono na Hizb ut Tahrir katika kazi zetu za kuregesha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.

Soma zaidi...

Mauaji Yasiyokwisha ya Wanawake na Watoto wa Gaza Kamwe Hayatamalizika hadi Mlinzi na Ngao ya Ummah, Khilafah, Itakaposimamishwa tena

Huu ni mwaka ambao umeonyesha kwa mara nyingine tena ugumba wa mfumo wa sasa wa dunia, na serikali zake, Umoja wa Mataifa na kila mahakama na taasisi za kimataifa kuwalinda Waislamu wanaodhulumiwa dhidi ya dhalimu wao. Umbile la Kiyahudi limevuka kila mstari mwekundu, limevunja kila mwiko na limekiuka kila kanuni na sheria ya kibinadamu, lakini hakuna serikali ambayo ina utashi wa kisiasa wa kukomesha mauaji haya yasiyokoma.

Soma zaidi...

Serikali nchini Jordan Inatumikia Malengo ya Kikoloni ya NATO: Jaribio Lililofanywa Upya la Kuitenga Jordan kutoka kwa Ummah Wake wa Kiislamu

Wizara ya Mambo ya Nje na Wageni ya Jordan ilitangaza kuanzishwa kwa Afisi ya Mahusiano ya NATO (North Atlantic Treaty Organization) katika Ufalme huo, ambayo itachangia kuimarisha uhusiano wa ushirikiano na muungano huo. Wizara hiyo ilitoa taarifa ya pamoja na NATO kuhusu uamuzi wa kufungua afisi hiyo jijini Amman.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu