Vita vya Kiuchumi vinavyoongezeka kati ya Pande Zinazopigana kwa Gharama ya Watu wa Yemen
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Benki Kuu ya Yemen, inayoshirikiana na ile inayoitwa serikali halali ya Aden, ilitoa maamuzi mawili mnamo Alhamisi, Mei 30, 2024. Uamuzi wa kwanza unaamuru kusitishwa kwa shughuli na benki sita zenye makao yake makuu katika maeneo yanayodhibitiwa na kundi la Houthi.