Al-Waqiyah TV: Kipindi cha Miangaza, “Saudi Arabia Inapiga Marufuku Umrah ilhali Inaruhusu Kucheza!”
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
Maoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
Hotuba ya Dkt. Mohamed Ibrahim, Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilaya Lebanon kupinga vifo vya maporomoko ya taka katika Mlima Beddawi.
Hotuba ya kwanza itafichua sera haribifu za Utawala wa Hasina nchini Bangladesh. Nukta muhimu zitakazo gusiwa katika mada ni:
Baada ya hukumu ya mahakama ya kijeshi dhidi ya Mkuu wa Afisi ya Kisiasa ya Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia Ustaadh Abdel Raouf Amiri kutokana na suala la kusambaza taarifa kwa vyombo vya habari zinazohusu ziara ya Wazayuni mjini Djerba na ulinzi wa usalama na jeshi…
Katika sura ya ghasia (fitna) iliyo chochewa na watawala wa Lebanon walio na lugha vitendo vya ubaguzi wa rangi dhidi ya Waislamu nchini Lebanon kwa jumla na hususan kwa watu wetu wa Syria wasio na makao…
Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia: Kalima ya Ustadh Abdel Raouf Amiri Kuhusu Mashtaka ya Kijeshi ya Hizb ut Tahrir nchini Tunisia
Hizb ut Tahrir / Amerika: Salam za Eid al- Fitr 1440 H
Michango ya mashababu wa Hizb ut Tahrir wakati wa Kongamano la Tatu – Dhidi ya Ufisadi lililokuwa kwa anwani “Ufisadi wa Kisiasa” lililo andaliwa na Baraza la Mahakama kuhusu Sheria, Haki na Usalama –Tunisia.
Hukumu ya Mounir Amara, afisa wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia
Kalima ya Dkt. Ismail Yusanto kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Kiidara wa Kuipiga Marufuku Hizb ut Tahrir