Matokeo ya Kisiasa Nchini Kazakhstan
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Urusi iliingilia kati kwa jina la Shirika la Mkataba wa Usalama wa Pamoja nchini Kazakhstan baada ya rais wake, Kassym-Jomart Tokayev, kuomba msaada wake katika kuzima maandamano yaliyozuka nchini mwake, baada ya bei ya gesi ya kimiminika kupanda maradufu, na kisha kupanda ghafla...