Jumatatu, 23 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uhakiki wa Habari 07/06/2023

Iran ilizindua kombora lake la kwanza la balestiki lililotengenezwa nchini wakati wa hafla moja kwa mujibu wa shirika la habari la serikali IRNA. Kombora hilo lililopewa jina la "Fattah" liliwasilishwa wakati wa hafla iliyohudhuriwa na Rais Ebrahim Raisi na makamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).

Soma zaidi...

Uhakiki wa Habari 17/05/2023

Vita vya baada ya 9/11 vya Marekani vimesababisha vifo vya zaidi ya milioni 4.5, kwa mujibu wa ripoti kuu mpya kutoka kwa Mradi wa Gharama za Vita katika Chuo Kikuu cha Brown. Takriban vifo milioni 1 kati ya hivyo vilitokana na mapigano ya moja kwa moja katika maeneo ya vita kote Afghanistan, Pakistan, Iraq, Libya, Syria, Somalia, na Yemen, huku milioni 3.5 vilivyobaki ni "vifo visivyo vya moja kwa moja" vilivyotokana na mizozo ya "kuharibiwa kwa uchumi, huduma za umma, na mazingira,” kulingana na ripoti hiyo.

Soma zaidi...

Uhakiki wa Habari 26/04/2023

Matumizi ya silaha duniani yalifikia rekodi ya $2.24 trilioni mwaka 2022, ongezeko la karibu 4%, kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI). Shirika hilo la kimataifa liligundua kuwa mwelekeo huo uliongozwa na nchi za Ulaya kuregea katika viwango vya matumizi ya Vita Baridi, ingawa Marekani imesalia kuwa nchi inayotumia pesa nyingi zaidi katika vita.

Soma zaidi...

Uhakiki wa Habari 22/03/2023

Afisa mmoja wa Uingereza amethibitisha kuwa Uingereza itaipatia Ukraine makombora yenye uranium iliyopungua ambayo yatatumika pamoja na vifaru vya Challenger 2 vilivyotengenezwa Uingereza licha ya maonyo kutoka kwa Urusi kwamba itazingatia matumizi ya silaha hizo zenye sumu sawa na bomu chafu.

Soma zaidi...

Uhakiki wa Habari 22/02/2023

Bunge la Kitaifa la Pakistan lilipitisha Mswada wa Nyongeza ya Fedha uliowasilishwa mnamo Februari 15, ambao utatekeleza ushuru wa juu. Mswada huo unapendekeza ongezeko la ushuru wa mauzo kutoka 17% hadi 18%, ushuru wa uagizaji bidhaa za anasa kutoka 17% hadi 25% na nauli za juu za usafiri wa anga.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu