Baraza la Wazee wa Kiislamu linapaswa Kutumia Hekima na Kulingania Khilafah ili Kuwaokoa Watoto wa Ulimwengu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 20 Novemba 2022, Baraza la Wazee wa Kiislamu (MCE) likiwakilishwa na Jaji Mohamed Abdelsalam lilitoa hotuba ya hadhara likitaka ulinzi wa watoto wa Kiislamu na watoto wa dunia nzima chini ya bendera ya dini nyingi zilizokubaliwa mwaka wa 2019.