Mateso ya Waislamu wa Uyghur: Afrika ni Mshirika Katika Uhalifu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) zaidi wa Waislamu wa Uighur milioni moja wamekadiriwa kuwekwa kizuizini ndani ya kambi ambamo wanalazimishwa kuikashifu dini yao na kutoa ahadi ya utiifu kwa Chama tawala cha Kikomunisti cha kikafiri.