Jumatatu, 23 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uislamu Pekee ndio Utakaonusuru Wanadamu na Ukandamizaji wa Kodi

Mfumo wa uchumi wa kibepari hutegemea kodi kandamizi pekee kama chanzo kikuu cha mapato. Katika hali hiyo inatarajiwa serikali daima itabuni na kulazimisha kodi mbalimbali ambazo ni wazi zitakuwa mzigo kwa raia wa kawaida. Serikali za kidemokrasia za kibepari badala ya kufanya bidii kuondoa mzigo wa kodi, zenyewe zihakikisha kila mtu analipa kodi.

Soma zaidi...

Umbile la Kiyahudi Halitanusurika na Mashambulizi ya Makombora ya Khilafah Rashida

“Picha za satelaiti za shabaha mnamo siku ya Jumanne – kambi ya anga ya Nevatim kusini mwa ‘Israel’, nyumbani kwa ndege zake za kivita aina ya F-35-zinaonyesha kwamba zaidi ya makombora 32 ya Iran yaliweza kutua ndani ya eneo la kambi hiyo, kulingana na uchambuzi wa Profesa Jeffrey Lewis, katika Taasisi ya Middlebury ya Mafunzo ya Kimataifa huko Monterey, California.”

Soma zaidi...

Khilafah Itakomesha Maangamizi ya Mfuko wa Fedha wa Kimataifa

Athari za uharibifu za programu zinazofuatana za Mfuko wa Fedha wa Kimataifa zinaonyeshwa katika takwimu za kiuchumi. Pato halisi la Taifa la Pakistan limepungua kutoka $316.5 bilioni mwaka 2018, hadi $298.2 bilioni mwaka 2023, ikionyesha kupungua kwa sekta ya ndani. Huku mfumko wa bei ukiwa wastani wa 11.5% kila mwaka, idadi kubwa ya watu wenye kipato cha chini wanakabiliana na mapigo mazito zaidi ya mgogoro huu wa kiuchumi wa muda mrefu.

Soma zaidi...

Mafunzo Baada ya Mwaka Mmoja wa Mauaji ya Halaiki mjini Gaza

Mwaka mzima umepita tangu tarehe 7 Oktoba 2023. Mwaka wenye mauaji ya halaiki na jinai zisizoelezeka dhidi ya Waislamu wa Palestina zinazoshuhudiwa na wote wenye macho ya kuona. Ni mafunzo gani tunaweza kupata tukitazama nyuma mwaka huu wa umwagaji damu na kutazamia mustakabali mwema kwa Palestina na Umma wa Kiislamu?

Soma zaidi...

Je, Kura ya Kutokuwa na Imani ni Mchakato wa Kisiasa au wa Kimahakama?

Wabunge nchini Kenya wameanza mchakato wa kumwondoa naibu rais wa nchi hii afisini. Wale wanaounga mkono juhudi hizo wanamshutumu Rigathi Gachagua kwa kuhusika katika maandamano ya Juni ya kupinga serikali - ambayo yaligeuka kuwa mabaya - pamoja na kuhusika katika ufisadi, kuhujumu serikali na kuendeleza siasa za mgawanyiko wa kikabila. Naibu rais amepuuzilia mbali madai hayo.

Soma zaidi...

Sintofahamu ya GISB: Nukta ya Mabadiliko ya Kushughulikia Upotofu na Kuregesha Khilafah

Katika wiki za hivi karibuni, Global Ikhwan Sdn Bhd (GISB) imekabiliwa na uchunguzi mkali kutoka kwa mamlaka kufuatia wasiwasi wa muda mrefu juu ya desturi zake potovu. Ingawa ripoti zilikuwa zimewasilishwa dhidi ya GISB mapema zaidi, hatua za hivi majuzi za polisi zinaashiria hatua ya kwanza muhimu ya kupunguza shughuli za kundi hili. GISB, ambayo mizizi yake inatoka kwenye vuguvugu la Al-Arqam ambalo sasa limezimika, imevutia umakini wa watu wengi kwa kulingania vitendo vya upotofu vya Aurad Muhammadiyah na madai ya utovu wa nidhamu, hasa katika uendeshaji wa nyumba za misaada.

Soma zaidi...

Je, Tunapaswa Kuzingatia Maneno Yako Mazuri au Matendo Yako Mabaya!

Katika hotuba yake katika Programu ya Ufunguzi wa Wiki ya Mawlid al-Nabi Rais Erdoğan alisema, “Mtu pekee katika ulimwengu huu ambaye tunamuiga, tunafuata nyayo zake na ambaye tunajitolea maisha yetu kwake ni Mtume wetu wa Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye kiongozi wetu na kipenzi chetu ambaye tutakufa kwa ajili yake. Mola wetu atujaalie tutembee katika nyayo za Mtume wa Mwenyezi Mungu, tujenge shakhsiya yetu kwa maisha yake, na tuwe na maadili mema ya kupigiwa mfano.”

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu