Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Imezindua tena Gazeti la Al-Raya
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwatangazia wafuasi na wageni wake katika tovuti za Afisi Kuu ya Habari kuanza tena uchapishaji wa Al-Raya, ambalo lilikuwa linachapishwa na Hizb ut Tahrir mnamo 1954.