Hizb ut Tahrir / Syria: Maandamano ya Kafr Takharim “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Syria: Maandamano ya Kafr Takharim “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Hizb ut Tahrir / Syria: Maandamano ya Kafr Takharim “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa, amali za maandamano na matembezi katika miji na vijiji kadhaa kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 12 ya Mapinduzi Yaliyobarikiwa ya Ash-Sham
Hizb ut Tahrir inawapa pole mashahidi wa matetemeko ya ardhi yaliyoikumba Uturuki na Syria, na inamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu awaandike mbele yake kuwa ni mashahidi wa Akhera, ikisadikisha Hadith iliyopokewa na Bukhari na Muslim kutoka kwa Abu Hurairah
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Idlib kwa anwani: “Serikali ya Uturuki na zana zake ni Washirika wa Utawala wa Assad katika Kuyaangamiza Mapinduzi ya Ash-Sham”
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimano katika mkusanyiko wa kambi za Atma viungani mwa Idlib
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Killi viungani mwa Idlib kwa anwani: “Bila ya Kurejesha Maamuzi, Maridhiano Hayataanguka!”
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Deir Hassan viungani mwa Idlib
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mkusanyiko wa kambi za Al-Karama viungani mwa Idlib
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika kijiji cha Sahara viungani mwa Aleppo Magharibi
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Babika viungani mwa Aleppo Magharibi