Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan Demokrasia na Udikteta Huleta Maangamivu, Simamisheni Khilafah!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ardhi zetu ni tajiri, lakini tunakufa njaa, kwani Demokrasia inatufunga minyororo kwa IMF, kwa kuongeza ushuru, malipo ya riba, deni na mfumko wa bei.