Hizb ut Tahrir/ Amerika: Al-Aqsa Inaita, Gaza Inaungua… Jeshi Lililo Kimya la Waislamu
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut-Tahrir / Amerika (Washington DC) inazungumzia dori ya jamii ya Waislamu jijini Washington, DC, ikiwemo wajumbe anuwai wa afisi za mabalozi, na kuwasihi kukumbuka wajibu wao kama Waislamu ili kuwalinda ndugu na dada zao Waislamu mjini Gaza.