Hizb ut Tahrir/ Amerika: Kukataa Siasa za Kisekula na Kujihusisha na Jamii!
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Dkt. Abdur Rafay anauliza maswali muhimu yanayozunguka pambizoni mwa kampeni ya Joe Biden iliyotelekezwa.
Dkt. Abdur Rafay anauliza maswali muhimu yanayozunguka pambizoni mwa kampeni ya Joe Biden iliyotelekezwa.
Hatupaswi kutumbukia ndani ya shimo moja mara mbili. Waislamu walio katika nchi za Magharibi ni lazima wafahamu siasa zile zile zilizofeli za karoti na kijiti ambazo inatukengeusha kutokana Suluhisho la Lazima kutoka kwa Uislamu.
Kuna vita vya kikatili vinavyofanywa dhidi ya Gaza na kukosekana uingiliaji kati wa majeshi ya Waislamu, haswa yale yanayoizunguka Palestina, licha ya mauaji yote yanayofanywa na umbile la Kiyahudi, mchana na usiku.
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa "Matembezi ya Ukombozi" kwa kichwa“Enyi Majeshi ya Waislamu: Na hakika tutawatoa humo na hali wao wamekuwa madhalili na wanyonge” kwa ajili ya kuyataka majeshi ya Waislamu yataharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wahalifu wauwaji.
Hizb ut Tahrir/ Uholanzi: Semina
Matembezi katika Mji wa The Hague ya Kuyahamasisha Majeshi ya Waislamu Kuinusuru Gaza!
Siku ya Kimataifa ya Wanawake Kuchukua Hatua kwa ajili ya Palestina iliandaliwa na Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari vya Hizb ut Tahrir kwa ushirikiano na Wanawake wa Hizb ut Tahrir ulimwenguni kuyata majeshi ya ardhi za Waislamu kutaharaki haraka ili kuwaokoa wanawake na watoto wa Gaza na kuikomboa Ardhi yote Iliyobarikiwa ya Palestina kutokana uvamizi wa mauaji wa Kizayuni.
Kitengo cha wanawake cha Hizb ut Tahrir katika wilayah ya Lebanon, leo, Jumapili, kilifanya semina katika mji mkuu, Beirut, ndani ya wigo wa siku ya kufanya kazi ya wanawake ulimwenguni kwa ajili ya Palestina kuyalingania majeshi ya Waislamu kuwaokoa wanawake wa Gaza na watoto wake na kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), mbele ya uhudhuriaji wa wanawake.
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa "Matembezi ya Ukombozi" kwa ajili ya kuwanusuru watu wa Palestina na Msikiti ulio mateka wa Al-Aqsa, kuyataka majeshi ya Waislamu ya taharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wahalifu wauwaji.
Hizb ut Tahrir / Uswidi:
Vipi Tutaikomboa Palestina?
Hizb ut Tahrir / Australia iliandaa kisimamo ambacho kiliyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja kwa ajili ya kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi wauaji.