Al-Waqiyah TV: Enyi Majeshi katika Nchi za Kiislamu, Inatosha!
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Enyi Majeshi katika Nchi za Kiislamu, Inatosha!
Je, Munasubiri amri ya Watawala ndipo muinusuru Gaza Hashem?!
Enyi Majeshi katika Nchi za Kiislamu, Inatosha!
Je, Munasubiri amri ya Watawala ndipo muinusuru Gaza Hashem?!
Ujumbe wa matarajio na ukakamavu katika kujibu tuhma za uongo zilizofanywa dhidi ya Hizb ut Tahrir.
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali kubwa za halaiki mbele ya ubalozi wa Misri katika mji wa Ankara na mbele ya msikiti wa Dargah katika mji wa Sanliurfa chini ya kichwa:
“Gaza Inakufa… Bomoeni Kuta na Mufungue Milango!”
Kalima iliyotolewa na Ustadh Ali Al-Bakri wakati wa kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria siku ya Ijumaa “Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni Mlinzi, na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni Mwenye Kukunusuruni” katika mji wa Kafra – viungani mwa kaskazini mwa Aleppo.
Kwa Mabadiliko ya Kweli… Kataeni demokrasia... Simamisheni Khilafah.
Kama sehemu ya amali za Rajab, juu ya ukumbusho wa kuvunjwa kwa Khilafah, na chini ya jkichwa “Miaka 103 tangu Kuvunjwa kwa Khilafah... Maumivu na Matumaini ya Umma wa Kiislamu,” Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan ilifanya, na ndani ya msururu wa vikao vitatu vya mwezi wa Rajab katika mji wa Gadharef.
Katika mwezi Mtukufu wa Rajab wa mwaka huu, 1445 H - 2024 M, inarudi tena kumbukumbu uchungu ya 103 ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu na wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, ambayo ilianzishwa na Bwana wa Mitume wote Muhammad, rehma na amani za Mwenyezi Mungu zimshukie, na maswahaba zake watukufu, Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na kuondolewa kwa Mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu katika mwaka wa 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M
Maoni ya habari ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.
Kwa Mabadiliko ya Kweli… Kataeni demokrasia... Simamisheni Khilafah.
Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan:
Ni Wakati Sasa wa Ushindi!
Kisimamo kwa Anwani “Mapinduzi Hayatainama, Ewe Fidan, hata kama Yatasalitiwa na Wasaliti Elfu Moja”