Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Maandamano huko Idlib, "Suala sio Barabara Kuu ya M4, Suala letu ni Kuanguka kwa Utawala"

Maandamano yalifanyika mbele ya Msikiti wa Hussein katika mji wa Idlib kwa kichwa, "Suala sio Barabara Kuu ya M4, Suala letu ni Kuanguka kwa Utawala."

Ijumaa, 25 Rajab 1441 H - 20 Machi 2020 M

Minbar ya Ummah: Ilani ya kutohusika: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watu wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watu wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri ya Uislamu na Waislamu.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumapili, 05 Aprili 2020 19:38
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.