Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Efrin kwa Anwani: "Mapinduzi ni Fikra na Fikra Haifi"

Kisimamo katika mji wa Efrin kwa anwani: "Mapinduzi ni Fikra na Fikra Haifi"

Ijumaa, 23 Jumada Al-Akhirah 1442 H sawia na 05 Februari 2021 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.