Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kisimamo cha Al-Sahara "Kujifunga na Amri za Mwenyezi Mungu Huleta Ushindi… Na Kuhalifu Sharia na Hukmu Zake Huleta Udhalilifu na Fedheha!"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika kijiji cha Al-Sahara viungani mwa Aleppo kwa anwani: "Kujifunga na Amri za Mwenyezi Mungu Huleta Ushindi… Na Kuhalifu Sharia na Hukmu Zake Huleta Udhalilifu na Fedheha!"

Ijumaa, 03 Dhu al-Hijjah 1441 H sawia na 24 Julai 2020 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatatu, 27 Julai 2020 22:19
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.