Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Syria: Maandamano ya Wanawake ya Sahara "Inusuruni Jabal Al-Zawiya na Daraa na Mfungue Vita na Muiangushe Serikali"

Kitengo cha wanawake katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria kiliandaa maandamano katika kijiji cha Sahara viungani mwa Aleppo kwa anwani "Inusuruni Jabal Al-Zawiya na Daraa na Mfungue Vita na Muiangushe Serikali!"

Jumamosi, 21 Dhu al-Hijjah 1442 H sawia na 31 Julai 2021 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.