Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah Syria: Kisimamo cha Kijiji cha Babika "Dhulma Itageuka kuwa Giza Siku ya Kiyama!"

Hizb ut Tahrir / Wilaya Syria iliandaa kisimamo katika kijiji cha Babika viungani mwa Aleppo baada ya swala ya Ijumaa kwa anwani "Dhulma Itageuka kuwa Giza Siku ya Kiyama!"

Ijumaa, 21 Dhu al-Qa'adah 1442 H sawia na 02 Julai 2021

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.