Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Syria: Kisimamo cha Kambi za Atma "Hakika Limekwisha Semwa na Watu Wetu Huko Hauran; Tutazisalimisha Roho na Wala Hatutazisalimisha Silaha!"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika kambi za Atma Magharibi mkabala na kijiji cha Ataa kwa anwani: "Hakika Limekwisha Semwa na Watu Wetu Huko Hauran;Tutazisalimisha Roho na Wala Hatutazisalimisha Silaha!"

Alhamisi, 20 Dhu al-Qa'adah 1442 H sawia na 01 Julai 2021 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.